Mwenyezi Mungu Amesema, “ Hakika wale waliozikataa Aya zetu, Tutawaingiza katika moto. Kila ngozi zao zitakapowiva, Tutawabadilishia ngozi nyengine badala ya zile; ili wawe wanaonja (uchungu wa) adhabu (maisha). Hakika Mwenyezi Mungu ni Mwenye nguvu na Mwenye hekima.” Aya ya 56 ya Suratul Nisaa.
Pia Mwenyezi Mungu amesema, “ Na wakanyweshwa maji yachemkayo yatakayokata chango zao.” Aya ya 15 ya Suratut Muhammad.
UKWELI WA KISAYANSI:
Kabla ya gunduzi za kisayansi, kulikuwa na imani kuwa mwili wote ni wenye kuhisi maumivu. Haikuwa wazi kwa yeyote kuwa kuna mwisho wa nava katika ngozi ambazo zinahusika na uchukuzi wa hisia na maumivu, hadi ulipogunduliwa mchango wa mwisho wa nava katika ngozi,
Read more...