Mwenyezi Mungu Amesema, “ Hakika wale waliozikataa Aya zetu, Tutawaingiza katika moto. Kila ngozi zao zitakapowiva, Tutawabadilishia ngozi nyengine badala ya zile; ili wawe wanaonja (uchungu wa) adhabu (maisha). Hakika Mwenyezi Mungu ni Mwenye nguvu na Mwenye hekima.” Aya ya 56 ya Suratul Nisaa.

 Pia Mwenyezi Mungu amesema, “  Na wakanyweshwa maji yachemkayo yatakayokata chango zao.” Aya ya 15 ya Suratut Muhammad.

UKWELI WA KISAYANSI:

          Kabla ya gunduzi za kisayansi, kulikuwa na imani kuwa mwili wote ni wenye kuhisi maumivu. Haikuwa wazi kwa yeyote kuwa kuna mwisho wa nava katika ngozi ambazo zinahusika na uchukuzi wa hisia  na maumivu, hadi ulipogunduliwa mchango wa mwisho wa nava katika ngozi,

Read more...

 
 Mwenyezi Mungu Amesema : “Mmekuwaje hamuweki Heshima ya Mwenyezi Mungu. Na hali ya kuwa Amekuumbeni namna baada ya namna?”. (Aya 13-14 Suratul Nuh).

UHAKIKA WA KISAYANSI :

          Mtu wa kwanza kumsoma mtoto wa kuku kwa kutumia lensi ndogo ni Harvey katika mwaka 1651. Pia alidurusu vijusi vya mbawala. Kutokana na ugumu wa kuainisha siku za kwanza za uja uzito

Read more...

 
 Mwenyezi Mungu Amesema : “Sivyo hivyo! Kama haachi, Tutamkokota kwa nywele za utosi.  Utosi muongo, wenye madhambi.”  ( Aya za 15-16 Suratul Alaq ).

UKWELI WA KISAYANSI :

       Ubongo wa binadamu una vigawanyo vinne vikuu ambavyo ni :  “Frontal Lobe”, “Occipital Lobe”,  “Temporal Lobe”

Read more...

 
 Toka kwa Mtume (S.A.W) amesema, “ Hakuna ugonjwa wowote isipokuwa katika haba soda kuna kupona kwake isipokuwa mauti.”

UKWELI WA KISAYANSI:

          Haba soda imetumika katika nchi nyingi za mashariki ya kati na ya mbali kama ni matibabu ya kienyeji tokea zaidi ya miaka elfu mbili na ikawezekana kutolewa mkusanyiko wa dawa uitwao Negelon kutokana na mafuta ya haba soda mwaka 1959 na Al Dakhani na wenzake. Mbegu ya haba soda  ina 40% ya mafuta thabiti katika uzito wake

Read more...

 
 Toka kwa Abu Hureira, Mtume (S.A.W) amesema, “ Kila binadamu ataliwa na udongo isipokuwa kifupa ndugu. Kwacho amezaliwa  na ndani yake huumbwa.”

UKWELI WA KISAYANSI:

 Kifupa ndugu katika elimu ya vijusi ni ( mchirizi wa asili ):

          Elimu ya kileo ya vijusi imeweka wazi kuwa kifupa ndugu, ni mchirizi wa asili ( Primitive Streak ), kwani mchirizi huu wa kwanza ni wenye kufanyika mara tu baada ya kudhihiri kwa kijusi kwa tabaka zake zote na hasa chombo cha mishipa ya fahamu

Read more...

 
There are no translations available.

"If you hear of an outbreak of plague in a land, do not enter it; but if the plague breaks out in a place while you are in it, do not leave that place."

Read more...

 
There are no translations available.

You see the believers as regards their being merciful among themselves and showing love among themselves and being kind to each other, resembling one body, so that, if any part of the body complains, the whole body shares (Tada`a) the sleeplessness (insomnia) and fever along  with it.

Read more...

 
 Mtume (S.A.W) amesema : “ Haukudhihiri uchafu katika kaumu katu hata wakautangaza, isipokuwa itaenea baina yao tauni na maradhi  ambayo hayakuwahi kutokea kwa waliotangulia ambao wamepita”

Pia Mtume (S.A.W) amesema : “ Haienei zina katika kaumu katu ila hukithiri vifo kwao.” Imepokelewa na Malik katika Muwatau.

UKWELI WA KISAYANSI:

         Sayansi ya kileo chini ya mikono ya wataalamu wa viumbe vidogo katika karne mbili zilizopita imegundua kuwa kundi la bacteria, ukungu na virusi, havimfikii binadamu isipokuwa kwa njia ya tendo la ngono la njia isiyo ya kawaida

Read more...