There are no translations available.

 Allah, the Almighty, says:  [Alif­Lam­Mim. The Romans have been defeated in the lowest land, and they, after their defeat, will be victorious within three to nine years. 

Read more...

 
 Mwenyezi Mungu Mtukufu Amesema, “ Na milima kuwa kama vigingi (vya ardhi).”?  Aya ya 7 ya Suratul Nabaa.

UHAKIKA WA KISAYANSI:

         Milima hapo awali haikujulikana kwa lolote isipokuwa ni kama mkusanyiko wa jiwe lilikwenda juu kwa usawa wa ardhi.

Read more...

 
There are no translations available.

  "Or (the unbelievers' state) is like the darkness of a fathomless sea which is covered by waves above which are waves above which are clouds, layers of darkness, one upon the other. If he puts out his hand, he can scarcely see it. Those God gives no light to, they have no light."

Read more...

 
 Mwenyezi Mungu Mtukufu Amesema, “ Anazikutanisha bahari mbili (ya maji ya chumvi na ya maji matamu). Baina yao kuna kizuwizi, haziingiliani (zikaharibiana kabisa kabisa). Basi ipi katika neema za Mola wenu mnayoikanusha (kuwa si neema yake)? Katika hizo bahari mbili, hutoka lulu na marijani.”

UHAKIKA WA KISAYANSI:

          Haikuwa ikijulikana kuwa bahari ya chumvi ni tofauti katika mpangilio na wala sio bahari moja iliyochanganyika isipokuwa mwaka 1873 wakati msafara wa Challenger ulipozunguka katika bahari kwa miaka mitatu. Na katika mwaka 1942,

Read more...

 
  Mwenyezi Mungu Mtukufu Amesema, “ Naye (Mwenyezi Mungu) ndiye Anayeziunganisha bahari mbili; hii ni tamu, inayoondosha kiu,  na hii ni yenye chumvi kali; na Akaweka kinga kati yao na kizuizi kizuiacho (zisiharibiane ila pale kiasi cha kukutana tu). Aya ya 53 ya Suratul Furqan.

UHAKIKA WA KISAYANSI:

          Kitabu cha kwanza kudhihiri kuhusu sayansi ya bahari katika karne ya kumi na nane, maelezo yake yalikuwa duni. Kisha sayansi ya bahari ikaanza kuchukua sehemu yake baina ya sayansi mpya wakati meli ya Challenger ya Uingereza ilipoanza safari yake ya kuizunguka dunia kuanzia mwaka 1872 hadi mwaka 1876. Kisha zikafuatia safari za kisayansi za ugunduzi wa bahari

Read more...