Mwenyezi Mungu Amesema, “ Ni mwenye kuleta baraka (kweli kweli) yule Aliyezijaalia nyota mbinguni, na Akajaalia humo jua na mwezi unaong’ara.” Aya ya 61 ya Suratul Furqan.

UKWELI WA KISAYANSI:

         Nishati ya jua (mtambo wa nyuklia wa dunia). Hupatikana nishati ya jua kutokana na kuungua kwa haidrojeni ambayo ndiyo sehemu yake kuu na huigeuza kuwa helium ndani yake kwani wingi, shinikizo na joto linalofikia digirii milioni 15, hayo yote hupelekea  kutokea kwa maingiliano ya nyuklia na kuchanganyika kwa atom nne za haidrojeni kwa ajili ya kutoa atom moja ya helium na inakuwa tofauti ya densiti baina ya mada zenye kuingia katika maingiliano na matokeo ya maingiliano huenea nishati ya sumaku umeme na huenea juu ya jua mionzi yenye mawimbi madogo yanayoambatana na mionzi ya kuonekana, mionzi myekundu na mionzi ya zambarau. Hii ina maana ya kuwa jua linategemea nishati yake toka ndani yake kupitia kuchanganyika kwa kawaida kwa nyuklia katika hali kubwa ya shinikizo, density na joto, kama kwamba ni mtambo mkubwa wa nyuklia ili kuipatia ardhi mwangaza, ujoto na nishati. Jua ni nyota

Read more...

 
 Mwenyezi Mungu Anasema, “ Basi Naapa kwa nyota zinazorejea nyuma. Zinazokwenda, kisha zikajificha.” Aya za 15 na 16 za Suratul At Takwyr.

UKWELI WA KISAYANSI:

          Umri wa uzee katika maisha ya nyota kubwa ni kama tundu nyeusi (Black holes), kundi kubwa zaidi kuliko jua kwa mara tano zaidi. Tundu hizo nyeusi zinasifika kwa ukubwa wa eneo na mvuto mkubwa mno, kwani hakuna kitu kinachokwepa kabisa hata mwangaza wenyewe ambao kasi yake ni ( kiasi cha kilometa 300,000 kwa sekunde). Toka hapa basi limekuja jina lake lenye kuonyesha kuwepo kwa maeneo kama tundu katika ukurasa wa mbingu uliopotea kila kitu na kuwa tundu nyingi.

Read more...

 
 Mwenyezi Mungu Mtukufu Amesema: “ Naapa kwa mawingu yanayoleta mvua.” Aya ya 11 ya Suratul Tariq.

UHAKIKA WA KISAYANSI:

 1.     Wingu wa juu unayarejesha maji yaliyogeuka kuwa mvuke  katika hali ya mvua.

 2.     Wingu wa juu unarejesha ardhini vimondo vingi na kuvirejesha kwenye anga la nje.

 3.     Wingu wa juu unairejesha mionzi yenye kuua viumbe hai na kuisukuma mbali na ardhi.

 4.     Wingu wa juu unaakisi mawimbi mafupi na ya kati ya redio kuyarejesha ardhini. Kwa hiyo tunaweza kuihesabu anga kama kioo chenye kuakisi miale na sumaku umeme. Ni wenye kuakisi au kurejesha mawimbi yasiyotumia waya na televisheni yanayorushwa angani na ambayo hurejeshwa baada ya kurushwa angani baada ya kuelekezwa kwenye tabaka za juu. Huu ndio msingi wa kazi ya vyombo vya kurusha matangazo ya idhaa na televisheni kupitia pande mbali mbali za ardhi.

 5.     Wingu wa juu unafanana na kioo chenye kuakisi joto

Read more...

 
 Mwenyezi Mungu Mtukufu Amesema, “ Basi yule ambaye Mwenyezi Mungu Anataka kumuongoza, Hufungulia kifua chake Uislamu; na yule ambaye Mwenyezi Mungu Anataka kumhukumu kupotea, Hufanya kifua chake kizito kinaona tabu kubwa (kufuata huo Uislamu); kama kwamba anapanda mbinguni (kusikokuwa na pumzi). Namna hivi Mwenyezi Mungu Anajaalia uchafu juu ya wale wasioamini.   Aya ya 125 Suratul An-am.

UKWELI WA KISAYANSI:

        Ujuzi juu ya mpangilio wa anga ulikuwa haupo hadi Pascal alipothibitisha mwaka 1648 kuwa shinikizo la hewa hupungua kila unapokwenda juu ya usawa wa bahari. Ikabainika baadae kuwa hewa iko kwa wingi zaidi katika tabaka za chini ya angahewa

Read more...