Jawabin Dokta/ Abdullah bn Abdul Aziz Almuslih
Babban sakatare qungiyar mu'ujizar Alqur'ani da Sunna a fagen ilimi ta Duniya.
Da sunan Allah mai Rahama mai jin qai
        'yan uwana maza da mata: maziyarta wannan shafi mai albarka…
 jama'an  mu'ujizar Alqur'ani da Sunna a fagen ilimi.. a duniya baki xaya..
gaisuwa irin ta addinin musulumci, Assalamu Alaikum Warahamatillahi Ta'ala Wa barakatuhu..bayan haka:
       manazarta  mu'ujizar Alqur'ani da Sunna a fagen ilimi na duniya sunyi gangami ayau da gabas da kudu suka taro a garin Ka'aba, qarqashin inuwar haramin makka mai alfarma, a zaurukan kungiyar tarayyar kasashen musulmi don a kafa wannan qungiyar mu'ujizar Alqur'ani da Sunna a fagen ilimi ta Duniya.
 Haqiqa ilimi ne. shin akwai wanda zai qi ilimi indai ba wawa ba.

Read more...

 
 Mwenyezi Mungu Mtukufu Anasema, “  Yussuf! Ewe mkweli ! Tueleze hakika ya ng’ombe saba wanene kuliwa na ng’ombe saba dhaifu. Na mashuke saba mabichi na mengine yamekauka, ili nirejee kwa watu wapate kujua. Akasema: “ Mtalima miaka saba mfululizo kwa juhudi (yaani limeni miaka saba kwa juhudi, kwani itaingia njaa kubwa baada ya miaka saba). Na mtakavyovivuna, viacheni katika mashuke yake, isipokuwa kidogo mnavyokula (ili mnavyoviacha mule miaka ya njaa itakayokuja.) Kisha inakuja baadaye miaka saba ya shida itakayokula vile mlivyoipa (yaani watu watakula ile akiba mliyoiweka) isipokuwa kidogo mtakachohifadhi (kwa ajili ya kupandia). Kisha baada ya haya, utakuja mwaka huo watu watasaidiwa na (Mwenyezi Mungu); na katika huo watakamua (vya kukamua).”

UHAKIKA WA KISAYANSI:

         Ufahamu wa kuhifadhi nafaka katika mashuke, unazingatiwa kuwa ni mpango muhimu wa kuhifadhi uzalishaji katika mazingira magumu mno.

Read more...

 
 Mtume (S.A.W) amesema : “ Haukudhihiri uchafu katika kaumu katu hata wakautangaza, isipokuwa itaenea baina yao tauni na maradhi  ambayo hayakuwahi kutokea kwa waliotangulia ambao wamepita”

Pia Mtume (S.A.W) amesema : “ Haienei zina katika kaumu katu ila hukithiri vifo kwao.” Imepokelewa na Malik katika Muwatau.

UKWELI WA KISAYANSI:

         Sayansi ya kileo chini ya mikono ya wataalamu wa viumbe vidogo katika karne mbili zilizopita imegundua kuwa kundi la bacteria, ukungu na virusi, havimfikii binadamu isipokuwa kwa njia ya tendo la ngono la njia isiyo ya kawaida

Read more...